Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Y.
Ndugai (Mb), (kushoto) akimsilikiliza Mbunge wa Bunge la Afrika
Mashariki Mheshimiwa Alhaji Adam Kimbisa. Mheshimiwa Kimbisa amkabidhi
Mhe. Spika kiasi cha Shillingi Milioni Nane Laki tano na elfu Hamsini
kwa niaba ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki ikiwa ni rambirambi
kufuatia ajali ya kivuko cha Mv Nyerere. Kulia ni Katibu wa Bunge Ndg.
Stephen Kagaigai.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Y.
Ndugai (Mb), akipokea shilingi Milioni Nane Laki tano na Elfu Hamsini
kutoka kwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mheshimiwa Alhaji Adam
Kimbisa kwa niaba ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki ikiwa ni
rambirambi kufuatia ajali ya kivuko cha Mv Nyerere. Bunge la Jamahuri ya
Muungano pia limetoa rambirambi yake kiasi cha Sh. milioni 86.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Y.
Ndugai (Mb), (kushoto) akimsilikiliza Mbunge wa Bunge la Afrika
Mashariki Mheshimiwa Alhaji Adam Kimbisa. Mheshimiwa Kimbisa amkabidhi
Mhe. Spika kiasi cha Shillingi Milioni Nane Laki tano na elfu Hamsini
kwa niaba ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki ikiwa ni rambirambi
kufuatia ajali ya kivuko cha Mv Nyerere. Kulia ni Katibu wa Bunge Ndg.
Stephen Kagaigai.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Y.
Ndugai (Mb), (kushoto) akimsilikiliza Mbunge wa Bunge la Afrika
Mashariki Mheshimiwa Alhaji Adam Kimbisa. Mheshimiwa Kimbisa amkabidhi
Mhe. Spika kiasi cha Shillingi Milioni Nane Laki tano na elfu Hamsini
kwa niaba ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki ikiwa ni rambirambi
kufuatia ajali ya kivuko cha Mv Nyerere. Kulia ni Katibu wa Bunge Ndg.
Stephen Kagaigai.
No comments :
Post a Comment