Picha mbalimbali
zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua bustani za mbogamboga mbalimbali zilizokuwa zikilimwa na Marehemu Dada
yake Monica Joseph Magufuli katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita leo
Jumamosi Agosti 25, 2018.
Akimzungumzia marehemu
dada yake, mara baada ya mazishi, Rais Magufuli alisema, “Mboga zote za majani
walizokuwa wakitumia hapo nyumbani kwa kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja au
miwili zilikuwa zinalimwa na dada yangu Monica, nyanya nakadhalika,” Alisema
Dkt. Magufuli.





No comments :
Post a Comment