Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Tabora Mjini,
Aden Rage baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kiwanja cha
Chipukizi kwenye Manispaa ya Tabora, Agosti 18, 2018. Katikati ni Mkuu
wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora,
Kamishina Msaidizi wa Polisi, Emmanuel Nley jumla ya shilingi
1,500,000/= kwa ajili ya ujenzi wa dawati la Jinsia katika Mji wa Tabora
na ujenzi wa nyumba ya Mkuu wa polisi katika wilaya ya Igunga.
Makabidhiano ya fedha hizo zilizotolewa na Mbunge wa Manonga, Seif
Khamis Gulamali (kushoto) yalifanyika baada ya Waziri Mkuu kuhutubiua
mkutano wa hadhara katika kiwanja cha Chipukizi kwenye Manispaa ya
Tabora, Agosti 18, 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey
Mwanri na wapili kushotoi ni Mbunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Tabora,
Hassan Kasubi katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye kiwanja cha
Chipukizi katika Manispaa ya Tabora, Agosti 18, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora,
Munde Tambwe katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye kiwanja cha
chipukizi katika Manispaa ya Tabora, Agosti 18, 2018.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kiwanja cha
Chipukizi katika Manispaa ya Tabora, Agosti 18, 2018.
Wananchi
wa Manispaa ya Tabora wakimsikiliza Waziri Mkuuu, Kassim Majaliwa
wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye kiwanja cha Chipukizi,
Agosti 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment