Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo
(UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akitoa neno la ukaribisho wakati wa mkutano wa
kamati ya maandalizi ya utekelezaji wa programu ya pamoja ya kusaidia Kigoma
(KJP) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja wa Mataifa jijini
Dar es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu
Emmanuel Maganga na kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Charles Pallangyo.
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo
(UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kamati ya
maandalizi ya utekelezaji wa programu ya pamoja ya kusaidia Kigoma (KJP)
uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar
es Salaam.
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo
(UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) akibadilishana mawazo na wadau wa
maendeleo mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja wa
Mataifa kabla ya kuanza kwa mkutano wa kamati ya maandalizi ya utekelezaji wa
programu ya pamoja ya kusaidia Kigoma (KJP) uliofanyika jana jijini Dar es
Salaam. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu
Emmanuel Maganga na Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa Kigoma, Evance Siangicha
(kushoto).
Kansela
wa Ubalozi wa Norway, Britt Kjolas akitoa salamu kwa niaba ya wadau wa
maendeleo wakati wa mkutano wa kamati ya maandalizi ya utekelezaji wa programu
ya pamoja ya kusaidia Kigoma (KJP) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa
ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam.
Katibu
Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Charles Pallangyo (kulia) akifafanua jambo wakati wa
mkutano wa kamati ya maandalizi ya utekelezaji wa programu ya pamoja ya
kusaidia Kigoma (KJP) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja
wa Mataifa jijini Dar es Salaam.
Mchambuzi Mratibu wa Umoja wa Mataifa (UN Coordination
Analyst )nchini, Kanali Rankho akitoa maelekezo kwa Adrian Fitzgerald kutoka
Irish AID wakati washiriki wa mkutano wa kamati ya maandalizi ya utekelezaji wa
programu ya pamoja ya kusaidia Kigoma (KJP)walipokuwa wakiwasili katika ukumbi
wa mikutano wa ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga (wa pili
kulia)akizungumza wakati akifungua mkutano wa kamati ya maandalizi ya
utekelezaji wa programu ya pamoja ya kusaidia Kigoma (KJP) uliofanyika katika
ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam. Wengine
katika picha ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Charles Pallangyo (kulia), Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo
(UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) pamoja na Mwakilishi wa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) nchini, Michael
Dunford (kushoto).
Mwakilishi
wa Umoja wa Mataifa Kigoma, Evance Siangicha akifafanua jambo wakati
akiwasilisha hatua iliyofikiwa kwenye programu nzima ya KJP wakati wa mkutano
wa kamati ya maandalizi ya utekelezaji wa programu ya pamoja ya kusaidia Kigoma
(KJP) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja wa Mataifa jijini
Dar es Salaam.
Mwakilishi
wa Umoja wa Mataifa Kigoma, Evance Siangicha akiwasilisha rasimu ya makubaliano
ya utekelezaji wa Programu ya KJP wakati wa mkutano wa kamati ya maandalizi ya
utekelezaji wa programu ya pamoja ya kusaidia Kigoma (KJP) uliofanyika katika
ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam. Kulia
kwake ni Mchambuzi Mratibu wa Umoja wa
Mataifa (UN Coordination Analyst )nchini, Kanali Rankho
Mwakilishi
wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mfuko wa Mitaji ya Maendeleo (UNCDF) nchini, Prisca
Mgomberi akiwasilisha hatua iliyofikiwa katika uwezeshaji kiuchumi kwa wanawake na vijana wakati wa
mkutano wa kamati ya maandalizi ya utekelezaji wa programu ya pamoja ya
kusaidia Kigoma (KJP) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja
wa Mataifa jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi
wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni
(UNESCO) nchini, Viola Kuhaisa akiwasilisha hatua iliyofikiwa katika
utekelezaji wa eneo la elimu wakati wa mkutano wa kamati ya maandalizi ya
utekelezaji wa programu ya pamoja ya kusaidia Kigoma (KJP) uliofanyika katika
ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi
kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto duniani (UNICEF) nchini,
Stephanie Shanler akiwasilisha hatua iliyofikiwa kwenye utekelezaji wa mradi wa
KJP eneo la kuzuia ukatili kwa wanawake na watoto wakati wa mkutano wa kamati
ya maandalizi ya utekelezaji wa programu ya pamoja ya kusaidia Kigoma (KJP)
uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar
es Salaam.
Washiriki
wa mkutano wa kamati ya maandalizi ya utekelezaji wa programu ya pamoja ya
kusaidia Kigoma (KJP) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja
wa Mataifa jijini Dar es Salaam.
Washiriki
wa mkutano wa kamati ya maandalizi ya utekelezaji wa programu ya pamoja ya
kusaidia Kigoma (KJP) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja
wa Mataifa jijini Dar es Salaam.
Washiriki
wa mkutano wa kamati ya maandalizi ya utekelezaji wa programu ya pamoja ya
kusaidia Kigoma (KJP) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja
wa Mataifa jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) nchini, Kajsa
Nyerere akiwasilisha hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa program ya KJP
katika eneo la kilimo wakati wa mkutano wa kamati ya maandalizi ya utekelezaji
wa programu ya pamoja ya kusaidia Kigoma (KJP) uliofanyika katika ukumbi wa
mikutano wa ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar es Salaam.
Picha
ya pamoja ya washiriki wa mkutano wa kamati ya maandalizi ya utekelezaji wa
programu ya pamoja ya kusaidia Kigoma (KJP) wakiwemo wadau wa maendeleo
uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Dar
es Salaam.
No comments :
Post a Comment