Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo
katika kozi mbalimbali kutoka Serikali ya Saudi Arabia.
Mafunzo hayo yatatolewa katika
Chuo Kikuu cha Imam Abdulrahman bin Faisal kilichopo Saudi Arabia.
Taarifa kamili kuhusu ufadhili, kozi na taratibu zote za namna ya kuomba
zinapatikana kupitia tovuti ya Chuo hicho www.iau.edu.sa
No comments :
Post a Comment