Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Julai 1, 2018 ameungana na waumini
wengine kusali Ibada ya Jumapili, Dominika ya 13, katika Kanisa
Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mstaafu Mhe.
Thomas Mihayo, ambaye nii mmoja wa wazee wa kanisa leo Julai 1, 2018
alipoungana na waumini wengine kusali Ibada ya Jumapili, Dominika ya 13,
katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini
Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipena amani na waumini wengine
kusali Ibada ya Jumapili, Dominika ya 13, katika Kanisa Katoliki la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam.
Picha na IKULU
No comments :
Post a Comment