Rais wa Jamhuri
ya Muungano ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John
Pombe Magufuli akihutubia viongozi wa vyama vya Siasa kutoka nchi za mbalimbali
za Afrika kabla ya kufungua mkutano kati ya viongozi wa vyama hivyo na Chama
cha Kikomunisti cha China (CPC) katika ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es
Salaam.

Washiriki wa
Mkutano huo wakifatilia kwa makini hotuba mbalimbali zilizokuwa zikitolewa
ukumbini hapo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Idara ya
Mahusiano ya kimataifa na Waziri wa Mahusiano
wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao akizungumza
katika mkutano huo wa viongozi wa vyama vya Siasa kutoka nchi za mbalimbali za
Afrika na Chama hicho cha CPC jijini Dar es Salaam.
![]() |
Katibu Mkuu wa
Chama cha Mapinduzi (CCM) Bashiru Ally akihutubia katika mkutano huo.
|
Rais wa Jamhuri
ya Muungano ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John
Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya kimataifa na Waziri wa Mahusiano wa Kimataifa wa Chama cha
Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao mara baada ya kufungua mkutano huo jijini
Dar es Salaam. (PICHA NA IKULU)
No comments :
Post a Comment