Thursday, July 5, 2018

MKUU WA MAJESHI JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA BANDA LA ATCL, AVUTIWA NA DREAMLINER 787-8



A1
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  nchini Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akisalimiana na  Lilian Fungamtama kutoka idara ya Biashara ya  Shirika la Ndege la ATCL wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo  kwenye maonesho ya Sabasaba  viwanja vya TANTRADE Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam ili kupata taarifa zaidi kuhusu ujio wa ndege mpya ya Dreamliner 787-8 ya shirika hilo na mambo mbalimbali katika sekta ya usafiri wa anga.
A6
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  nchini Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akionyeshwa mfano wa ndege mpya ya Dreamliner 787-8  na  Lilian Fungamtama kutoka idara ya Biashara ya  Shirika la Ndege la ATCL wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo  kwenye maonesho ya Sabasaba  viwanja vya TANTRADE Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam
A2
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  nchini Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akipata maelezo mbalimbali kutoka kwa  Lilian Fungamtama wa idara ya Biashara ya  Shirika la Ndege la ATCL wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo  kwenye maonesho ya Sabasaba  viwanja vya TANTRADE Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam
A3
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  nchini Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akisaini kitabu cha wageni  wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo  kwenye maonesho ya Sabasaba  viwanja vya TANTRADE Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam
A4
Baadhi ya maofisa wa Jeshi la Wananchi na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara TANTRADE alioongozana nao alipokuwa akitembelea mabanda katika maonesho hayo.
A5
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  nchini Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akionyeshwa mfano wa ndege ya Bombadier  na  Lilian Fungamtama kutoka idara ya Biashara ya  Shirika la Ndege la ATCL wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo  kwenye maonesho ya Sabasaba  viwanja vya TANTRADE Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo.
A7
Baadhi ya wafanyakazi wa ATCL wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo kutembelea banda lao leo.

No comments :

Post a Comment