Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni akizungumza na watumishi raia, askari na maafisa (hawapo
pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao wakati wa ziara ya kikazi,
mkoani Shinyanga. Mhe. Masauni amesema Serikali haitomvumilia askari anayejihusisha na rushwa au kumbambikia kesi mwananchi.
Sajenti wa Jeshi la Magereza, Athumani Massawo,
akizungumza wakati wa kikao cha ndani cha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), wakati wa kikao cha ndani na
watumishi hao wakati wa ziara ya kikazi, mkoani Shinyanga
Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa Shinyaga,Mrakibu
Mwandamizi Venance Mwamakula akizungumza wakati wa kikao cha ndani cha
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo
pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao, mkoani Shinyanga
Askari
wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hawapo pichani), wakati wa kikao cha
ndani na watumishi hao wakati wa ziara ya kikazi, mkoani Shinyanga, leo.Ambapo
amewataka askari kutojihusisha na matendo ya rushwa pamoja na kubambikia
rushwa wananchi.(PICHA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI)
No comments :
Post a Comment