Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mohammed Abdulwakil ambaye ni Kaka wa Rais wa Awamu ya
Nne wa Zanzibar, Idris Abdul Wakil Wakati alipozulu kaburi la Rais
huyo, eneo la Makunduchi, Zanzibar Julai 18, 2018. (
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akishiriki katika sala ya kumwombea Rais wa Awamu ya Nne wa Zanzibar,
Idris Abdul Wakil kwenye kaburi la Rais huyo enero la Makunduchi,
Zanzibar Julai 18, 2018. Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa
Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Sira Ubwa Mwamboya, Mkuu wa Mkoa
wa Mjini Magharibi Unguja , Ayoub Mohammed Mahmoud na Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Unguja, Hassan Khatib Hassan
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akivalishwa kofia na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Sherehe za
Mwakakogwa, Mwalimu Makungu Mwita katika sherehe za Mwakakogwa
zilizofanyika Makunduchi Zanzibar Julai 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuhitimisha Sherehe za Mwakakogwa, eneo la Makunduchi Zanzibar Julai 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama ngoma ya asili wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa
Zanzibar kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Mwakakogwa zilizofanyika
Makunduchi, Julai 18, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja, Ayoub Mohammed Mahmoud
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na baadhi ya washiriki wa sherehe za Mwakakogwa wakati
alipowasili Makunduchi Zanzibar kuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo,
Julai 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye eneo la Shereza za Mwakakogwa zilizofanyika Makunduchi, Zanzibar Julai 18, 2018.
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria katika Sherehe za Mwakakogwa zilizofanyika Makunduchi Zanzibar Julai 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza katika Sherehe za Mwakakongwa zilizofanyika Makunduchi
Zanzibar Julai 18, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja,
Hassan Khatib Hassan. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment