Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimtambulisha Mkuu wa Wilaya ya Kahama,
Anamringi Macha wakati alipoweka jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha
Chela katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Julai 17, 2018. Mkuu
huyo wa wilaya aliapishwa jana asubuhi na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,
Zainab Teklack.

Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipoweka jiwe la Msingi la
Kituo cha Afya cha Chela katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama
Julai 17, 2018. Watatu kushoto ni Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige na
watano kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack. Kulia ni
Mkuu wa wilaya ya Kahama, Anamringi Macha na watatu kulia ni Mwenyeiiti
wa CCM wa Mkoa wa Shinyanga, Mabala Mlolwa. Kushoto ni Naibu Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Elius Kwandikwa wapili kushoto ni Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Joseph Kakunda.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha
Chela katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Julai 17, 2018.
Kulia ni Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Shinyanga, Zainab Telack.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment