Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Kangi Lugola, akiangalia pasipoti ya kielektroniki inayotolewa
na Idara ya Uhamiaji, alipotembelea Makao Makuu ya idara hiyo, jijini
Dar es Salaam.Kulia ni Msimamizi wa chumba cha Uchapaji, Mrakibu
Msaidizi, Samuel Gambadu.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Kangi Lugola, akiongea na wananchi waliofika Makao Makuu ya
Idara ya Uhamiaji, kupata huduma mbalimbali zinazotolewa na idara
hiyo.jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Kangi Lugola, akimuuliza swali mwananchi aliyefika Makao Makuu
ya Idara ya Uhamiaji kupata huduma.Waziri Lugola yupo katika ziara ya
kikazi.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk.
Anna Makakala, akizungumza na Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Kangi Lugola, aliyefika Idara ya Uhamiaji,jijini Dar es
Salaam,wakati wa ziara ya kikazi.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk.
Anna Makakala, akimkaribisha Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Kangi Lugola,aliyefika Idara ya Uhamiaji,jijini Dar es
Salaam,wakati wa ziara ya kikazi.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
No comments :
Post a Comment