Meneja Masoko wa Multichoice
Tanzania Bw. Alfa Mria akimkabidhi King’amuzi mmoja wa wateja
waliojinunuli Bw. Yahya Mgaya baada ya kununua katika maonesho ya 42 ya
Biashara TANTRADE yanayoendelea kwa siku 16 katika viwanja vya Sabasaba
barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo
Multichoice Tanzania
inawakaribisha wananchi mbalimbali kutrembelea banda lake ili kupata
huduma mbalimbali na kupata ving’amuzi kwa bei nafuu katisa hasa katika
kipindi hiki cha Kombe la Dunia wenyewe wanakwambia “Kama Siyo DSTV
Potezea”
Meneja Masoko wa Multichoice
Tanzania Bw. Alfa Mria akimkabidhi fulana kama zawadi mmoja wa wateja
Bw. Yahya Mgaya baada ya kununua King’amuzi.
Meneja Masoko wa Multichoice
Tanzania Bw. Alfa Mria akimkabidhi King’amuzi mmoja wa wateja
waliojinunuli Bw. Eraldy Paul mara baada ya kununua king’auzi katika
maonesho ya Sabasaba viwanja vya Kilwa jijini Dar es salaam.
Meneja Masoko wa Multichoice
Tanzania Bw. Alfa Mria akimkabidhi King’amuzi mmoja wa wateja
waliojinunuli Bw. Eraldy Paul mpira kama zawadi mara baada ya kununua
king;amuzi katika maonesho ya Sabasaba Viwanja vya Kilwa jjini Dar es
salaam leo.
Picha mbalimbali zikionyesha
wafanyakazi wa Kampuni ya Multichoice Tanzania wakiwa katika picha
kwenye banda la Kampuni hiyo katika Viwanja vya maonesho ya Sabasaba
barabara ya Kiwal jijini Dar es salaam.
No comments :
Post a Comment