Friday, June 29, 2018

WALICHOKUBALIANA RAIS MAGUFULI NA MNANGANGWA

1
Marais Dkt. John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Emerson Mnangangwa wa Zimbabwe jana walikutana jijini Dar es Salaam na kukubaliana masuala kadhaa kuimarisha uhusiano wa nchi zao.

No comments :

Post a Comment