Waziri wa Mambo ya nje wa
Ujerumani Heiko Maas akiwasili katika katika Taasisi ya Umoja wa
Mataifa (UN) ya kushughulikia Masuala yaliyoachwa na Mahakama za jinai
za umoja wa mataifa zilizoko eneo la Laki laki jijini Arusha
Tanzania,wapili kulia ni Afisa Mkuu wa Mambo ya nje katika taasisi
hiyo Ousman Njikam ,kushoto ni Msimamizi Mkuu wa Msajili wa Mahakama
Sera Attika
Waziri wa Mambo ya nje wa
Ujerumani Heiko Maas akisaini kitabu cha wageni ali[powasili katika
katika Taasisi ya Umoja wa Mataifa (UN) ya kushughulikia Masuala
yaliyoachwa na Mahakama za jinai za umoja wa mataifa zilizoko eneo la
Laki laki jijini Arusha nchini Tanzania .Kulia kwake ni Msimamizi Mkuu
wa Msajili wa Mahakama Sera Attika
Msajili wa Mahakama ya jinai ya
Umoja wa Mataifa UN nchini Tanzania Sera Attika akifafanua jambo kwa
Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas ,katikati ni Afisa Mkuu
wa Mambo ya nje katika taasisi hiyo Ousman Njikam ,kufuatia ziara ya
kwanza ya Wwaziri huyo kutembelea Taasisi ya Umoja wa Mataifa (UN) ya
kushughulikia Masuala yaliyoachwa na Mahakama za jinai za umoja wa
mataifa zilizoko eneo la Laki laki
Waziri wa Mambo ya nje wa
Ujerumani Heiko Maas (katikati) akiwa katika Mahakama za jinai za umoja
wa mataifa zilizoko eneo la Laki laki jijini Arusha Tanzania ,kushoto
ni Msimamizi Mkuu wa Msajili wa Mahakama hiyo Sera Attika .Kulia ni
Afisa Mkuu wa Mambo ya nje katika taasisi hiyo Ousman Njikam
Picha na mahmoud ahmad
No comments :
Post a Comment