Wazi wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga,
akipeana mikono na Waziri Mkuu wa Israel, Mhe. Benjamin Netanyahu, mjini
Tel-Aviv Mei 10, 2018. Vionbgozi hao walifanya mazungumzo yahusuyo
ushirikiano baina ya nchi hizo mbili.
Mazungumzo yakiendelea baina ya pande mbili
Mhe. Netanyahu
Dkt. Mahiga na ujumbe wake, akiwa na balkzi wa Tanzania nchini Israel, Mhe.Mhe. Job Masima
No comments :
Post a Comment