Mashindano ya shule za
sekondari ya Copa Umisseta, yalizinduliwa Zanzibar kwa shamrashamra
mbalimbali za michezo na burudani katika uwanja wa Aman na kuhudhuriwa
na viongozi wa serikali,wadau wa michezo na wanafunzi wa shule za
sekondari na mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub
Mohamed Mahmoud.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Unguja, alisema suala la michezo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
inalipa kipaumbele kikubwa kwa kuwa inaamini kuwa inayo faida nyingi
baadhi yake ikiwa ni kujenga afya,kuleta umoja,burudani na inazo fursa
kubwa za ajira hususani kwa vijana na aliipongeza kampuni ya Coca-Cola
kwa kuwa mstari wa mbele kudhamini mashindano haya.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi,Ayoub Mohamed Mahmod akipokea zawadi ya mpira wa kufanyia mazoezi kutoka Coca-Cola baada ya hafla ya uzinduzi.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghribi, Ayoub Mohamed Mahmod (wa tatu kulia) akikabidhi jezi na mpira kwa mwalimu Mussa Abdi Khamis wa shule ya sekondari ya penae.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohammed Mahmoud, akipiga mpira kuashiria uzinduzi wa mashindano ya Copa UMISSETA.
Moja ya timu ikikaguliwa wakati wa uzinduzi huo.
Wananchi wakifuatilia matukio wakati wa uzinduzi.

No comments :
Post a Comment