Thursday, May 3, 2018

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA MABALOZI WILAYA CHAKECHAKE PEMBA


DSC_0003
Baadhi ya Mabalozi wa Mashina ya CCM katika Wilaya ya Chakechake wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro Wilaya ya Chakechake katika mkutano na Mabalozi hao  jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa was Kusini Pemba,
DSC_0019
Wanachama na Viongozi wa Mashina ya CCM wa Wilaya ya Chakechake wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro Wilaya ya Chakechake alipozungumza nao jana  akiwa katika  ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba,
DSC_0039
Balozi Kiembe Khamis Ramadhan akisoma taarifa ya Utekelezaji ya kazi za Mabalozi wa Wilaya ya Chake chake katika mkutano uliofanyika jana katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), akiwa katika  ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba
DSC_0047
Wanachama na Viongozi wa Mashina ya CCM wa Wilaya ya Chakechake wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro Wilaya ya Chakechake alipozungumza nao jana  akiwa katika  ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba
DSC_0052
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro Wilaya ya Chakechake wakati wa Mkutano wa Viongozi wa Mashina  jana  akiwa katika  ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba
DSC_0082
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Chakechake Mkoani wa Kusini Pemba wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akizungumzanao jana  katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro  akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
DSC_0238
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro Wilaya ya Chakechake  Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Picha na Ikulu

No comments :

Post a Comment