Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanafunzi wa shule ya
Sekondari ya Luhota pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Kalambo
zilizopo Iringa vijijini wakati alipokuwa njiani kuelekea Wilayani
Kilolo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Hospitali ya Wilaya ya
Kilolo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Iringa
vijijini katika eneo la Ndiwili (hawaonekani pichani) wakati alipokuwa
njiani kuelekea Wilayani Kilolo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi
la Hospitali ya Wilaya ya Kilolo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ipogolo
mkoni Iringa wakati akitokea Kilolo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi kwa kuimba nyimbo na vijana
chipukizi wa Kilolo mara baada ya kuhutubia wananchi waliofika kwenye
sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Hospitali ya
Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment