Wednesday, May 2, 2018

DKT. MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE, WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI, JIJINI DODOMA KESHO


PIX 1
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba  akitoa Maelekezo kwa Watendaji Wakuu wa Wizara yake wakati wa Kikao cha Mapitio ya Bajeti  ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa bajeti ya Wizara hiyo, Bungeni jijini Dodoma, kesho. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni. Kushoto ni  Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini humo leo.
PIX 2
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba (katikati meza kuu), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira alipokua anatoa maelezo katika kikao cha Mapitio ya Bajeti  ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa Bungeni jijini Dodoma, kesho. Kulia meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni. Wapili kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini humo leo
PIX 3
.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira (kulia), akimsikiliza Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Issa Ng’imba, kabla ya kuanza kikao cha Mapitio ya Bajeti  ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa Bungeni jijini Dodoma, kesho. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini humo leo.
PIX 4..
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba (katikati meza kuu), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira alipokua anatoa maelezo katika kikao cha Mapitio ya Bajeti  ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa Bungeni jijini Dodoma, kesho. Kulia meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini humo leo.
Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments :

Post a Comment