Wednesday, April 25, 2018

WAZIRI MKUU NA MATUKIO KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO


PMO_0423
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri , Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege, bungeni mjini Dodoma, Aprili 25, 2018. (Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0427
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Josephat Kandege, bungeni mjini Dodoma, Aprili 25, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0447 PMO_0453
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Musoma  Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Aprili 25, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0463
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye  (katikati) na Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 25, 2018. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0467
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye  (katikati) na Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 25, 2018. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0487
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya El Shadai ya mjini Dodoma kwenye viwanja vya bunge, Aprili 25, 2018. Wapili kushoto ni mwalimu wa Shule hiyo, Vincent Kawilima.(Pica na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0527
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Aprili 25, 2018. Kutoka kushoto ni Dkt, Raphael Chegeni wa Busega, Danstan Kitandula wa Mkinga, Venance Mwamomoto wa Kilolo, Mussa Sima wa Singida Mjini na Mbunge wa Kuteuliwa Abdallah Bulembo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_0531
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 25, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment