Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu
Bungeni mjini Dodoma, Aprili 23, 2018
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akijibu swali bungeni mjini Dodoma, Aprili 23, 2018.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista
Mhagama (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu,
Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde, Bungeni mjini Dodoma Aprili 23,
2018
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama
(kushoto) akiteta na Naibu Waziri ,Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Juliana Shonza, Bungeni mjini Dodoma, Aprili23, 2018.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments :
Post a Comment