WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad
Rashid Muhamed akizungumza na Madaktari Bingwa kutoka Nchi za Kiarabu
baada ya kufika ofisini kwake Mnazimmoja kwaajili ya kuagwa baada ya
kumaliza muda wa kufanya kazi Nchini.
MENEJA kutoka MSA Ibrahim
Gamaan Girmp akiutambulisha ujumbe wa Madaktari waliofika ofisi kwa
Waziri wa Afya Zanzibar kwaajili ya kuagwa baada ya kumaliza muda wao wa
kufanya kazi Nchini.
MENEJA kutoka MSA Ibrahim Gamaan
Girmp akimkabidhi zawadi Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed
kushoto alievaa fulana nyeusi ni Prof Abdulwahab Al Jubab kutoka King
Fahad Medical City walipofika afisini kwake kwaajili ya kuagwa baada ya
kumaliza muda wa kufanya kazi Nchini.
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad
Rashid Muhamed akipiga picha ya pamoja na Madaktari Bingwa kutoka Nchi
za Kiarabu.(Picha na Abdalla Omar Maelezo Zanzibar).
No comments :
Post a Comment