Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista
akisalimia wajumbe waliohudhuria katika Kongamano la Tanzania ya Viwanda
wakati wa maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi lililofanyika mkoani Iringa
Aprili 27, 2018.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista
akitia saini kitabu cha wageni alipowasili katika ofisi za Mkuu wa Mkoa
wa Iringa Mhe.Amina Masenza kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za Mei
Mosi.
Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akitia saini kitabu cha wageni alipowasili
katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Amina Masenza kwa ajili ya
maandalizi ya sherehe za Mei Mosi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista
akipokelewa na Mkoa wa Iringa Mhe.Amina Masenza alipowasili mkoani hapo
kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za Mei Mosi akiongozana na Waziri wa
Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista
akisema jambo wakati wa kikao kifupi na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Amina
Masenza (hayupo pichani) wakati wa maandalizi ya shughuli za Mei Mosi
mkoani hapo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista na
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage wakiimba
wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Kongamano la Tanzania ya Viwanda
lililohusu maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi Mkoani Iringa.
Baadhi ya wajumbe wa Kongamano la
Tanzania ya Viwanda wakati wa maandalizi ya kuifikia Siku ya Mei Mosi
wakiimba wimbo wa umoja na mshikamano, Mkoani Iringa.
Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akiongea umuhimu wa kuwa na Tanzania ya
Viwanda wakati wa Kongamano la maandalizi ya Mei Mosi lililofanyika
mkoani Iringa Aprili 27, 2018.
Baadhi ya wajume wakifuatilia
Kongamano la maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi walipokutana kujadili
masuala ya Tanzania ya Viwanda Aprili 27, 2018.
Kaimu Mtendaji Mkuu OSHA
Bi.Khadija Mwenda (katikati) akifuatilia mada zilizowasilishwa wakati wa
Kongamano la Tanzania ya Viwanda lililofanyika Mkoani Iringa Aprili 27,
2018
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard
Kasesela akizungumza jambo wakati wa Kongamano la Tanzania ya Viwanda
lililohusu maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi lililofanyika Mkoani Iringa
Aprili 27, 2018.
Katibu Mkuu TUCTA Dk Yahaya
Msingwa akizungumza jambo wakati wa Kongamano la Tanzania ya Viwanda
lililohusu maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi lililofanyika Mkoani Iringa
Aprili 27, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Amina
Masenza akizungumza wakati wa Kongamano la kuelekea sikukuu ya
wafanyakazi duniani lililofanyika mkoani Iringa Aprili 27, 2018.
Rais wa Shirikisho la Vyama vya
Wafanyakazi Nchini Bw. Tumaini Nyamhokya akimsikiliza Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)
Mhe.Jenista nje ya ukumbi wa Kichangani Iringa.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista
(wan ne kutoka kushoto) na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Mhe.Charles Mwijage (kulia kwake) wakiwa katika picha ya baadhi ya
Watendaji wa Serikali walipohudhuria katika kongamano la Tanzania ya
Viwanda wakati wa maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi lililofanyika Iringa
Aprili 27, 2018.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU
No comments :
Post a Comment