Isabela Nchimbi Afisa Mradi Chama
cha Wanasheria wanawake TAWLA akizungumza katika mkutano wa kutoa
Mrejesho wa Matokeo ya Awamu ya Kwanza ya Mradi uliokuwa na lengo la
Kuchangia Ongezeko la Uwakilishi na Ushiriki wa Wanawake katika Shughuli
za Uongozi na Siasa uliofanyika kwenye Hoteli ya New Africa jijini Dar
es salaam ikishirikisha wadau mbalimbali kutoka vyama vya siasa , Asasi
za Kiraia, Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume ya Uchaguzi, Mkutano huo
umeandaliwa na Chama cha Wanasheria wanwake TAWLA
Isabela Nchimbi Afisa Mradi Chama
cha Wanasheria wanawake TAWLA akionyesha kitabu chenye malengo ya
Mrejesho wa Matokeo ya Awamu ya Kwanza ya Mradi uliokuwa lengo la
Kuchangia Ongezeko la Uwakilishi na Ushiriki wa Wanawake katika Shughuli
za Uongozi na Siasa katika mkutano huo uliofanyika kwenye Hoteli ya ya
New Africa jijini Dar es salaam.
Isabela Nchimbi Afisa Mradi Chama
cha Wanasheria wanawake TAWLA akifafanua katika mkutano uliofanyika
kwenye Hoteli ya ya New Africa jijini Dar es salaam
Sara Kinyaka Mwanachama wa Chama
cha Wanasheria Wanawake TAWLA akichangia hoja katika mjadala wa mkutano
huo uliofanyika katika hoteli ya New Africa jana jijini Dar es salaam
Rose Julius Afia Mradi wa Women
Fund Tanzania akichangia hoja katika mjadala wa mkutano huo uliofanyika
katika hoteli ya New Africa jana jijini Dar es salaam.
Catherine Vermand Mwanacha na
Mwakilishi kutoka Chama cha Chadema akichangia hoja katika mjadala wa
mkutano huo uliofanyika katika hoteli ya New Africa jana jijini Dar es
salaam.
Baadhi ya wadau wa mkutano huo wakifuatilia mkutano huo.
Jaquiline Moshi kushoto Afisa
Sheria TAWLA na Debora Nyasibaa Mhasibu TAWLA wakiwa katika mkutano huo
uliofanyika kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam.
Ofisa Kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
Josephine Arnold Afisa Mradi TAWLA akifafanua baadhi ya hoja wakati wa mkutano huo.
No comments :
Post a Comment