Wednesday, April 18, 2018

IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BOHARI KUU YA JESHI HILO


1
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na baadhi ya wanafunzi wanaojifunza ushonaji katika kiwanda cha ushonaji kilichopo katika Bohari Kuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam, wakati alipofanya ziara ya ghafla kiwandani hapo ili kuona utendaji wao.
2
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akiangalia namana askari wa Jeshi hilo wakitekeleza majukumu yao kwa kushona sare za Jeshi hilo katika kiwanda cha ushonaji kilichopo katika Boharia Kuu ya Polisi jijini Dar es salaam wakati alipofanya ziara ya ghafla kiwandani hapo ili kuona utendaji wao.

No comments :

Post a Comment