Baadhi ya wanafunzi wa kike wa
Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika maandamano ya kuunga mkono
chanjo ya kinga dhidi ya saratani ya mlango wa kikazi iliyozinduliwa leo
na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri
Baadhi ya wanafunzi wa kike wa
Shule za Msingi na Sekondari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey
Mwanri (hayupo katika picha) leo wakati wa hotuba ya uzinduzi wa chanjo
dhidi ya saratani ya mlango wa kikazazi kwa wasichina wa umri wa miaka
14.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt
Gunini Kamba akitoa maelezo ya awali kuhusu chanjo ya kinga dhidi ya
saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wa miaka 14 mkoani Tabora
iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri leo.
Mkuu wa Wilaya ya Tabora Queen
Mlozi akitoa maelezo ya awali wakati wa uzinduzi chanjo kwa watoto wa
kike wa miaka 14 ya kuwakinga na saratani ya mlango wa kizazi leo mkoani
humo.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey
Mwanri akitoa maelezo ya awali kuhusu chanjo ya kinga dhidi ya saratani
ya mlango wa kizazi kwa wasichana wa miaka 14 mkoani Tabora
iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri leo.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey
Mwanri(KUSHOTO) akitoa maelezo ya awali kuhusu chanjo ya kinga dhidi ya
saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wa miaka 14 mkoani Tabora
iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri leo.Wengine ni
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt Ginini Kamba (wa pili kushoto) ,
Katibu wa CCM Mkoa Janeth Kayanda(wa pili kulia) na Mkuu wa Wilaya ya
Tabora Queen Mlozi(kulia)
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tabora
Dkt Gunini Kamba (wa pili kushoto) akitoa maelezo kuhusu chanjo ya kinga
ya saratani ya mlango wa kizazi kwa watoto wakike wa miaka 14
iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(kushoto), Wengine
nia Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tabora Janeth Kayanda(wa pili
kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Tabora Queen Mlozi(kulia)
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey
Mwanri akionyesha bomba la sindano na dawa kwa ajili ya kuzindua chanjo
ya kuwakinga watoto wa kike na saratani ya shingo ya kizazi
iliyozinduliwa leo,
Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akitoa chanjo ya matone ya kuzuia Polio kwa mtoto aliyezaliwa siku hiyo.
picha na Tiganya Vincent
No comments :
Post a Comment