Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akimsikiliza mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe.
Christopher Ole Sendeka alipomtembelea ofisini kwake kupata taarifa ya
Viwanda na uwekezaji katika mkoa huo, leo tarehe 1 Machi, 2018.
Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akizungumza jambo na Mkuu wa Wilaya ya
Njombe Bibi. Ruth Blasio Msafiri walipofika ofisi za SIDO Mkoa wa Njombe
kuona utendaji wake.
Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akikagua eneo litakalojengwa majengo
makubwa kwa ajili ya wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo, Mkoani
Njombe leo tarehe 1 Machi, 2018.
Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, akimsikiliza meneja wa Wakala wa Vipimo
Mkoa wa Njombe kuhusu utaratibu wanaotumia katika kupima mizigo ya
wakulima na wafanyabiashara mkoani Njombe.
Muonekano wa Kiwanda cha
kuchakata Chai cha Unilever kilichopo mkoani Njombe ambacho kipo katika
hatua za mwisho kukamilika kwa ujenzi wake.
Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akikagua uenzi wa kiwanda cha Chai cha
Unilever, Mkoani Njombe leo tarehe 1 Machi, 2018.
Wadau na wafanyabiashara wa Mkoa
wa Njombe waliokusanyika kumsikiliza Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (Hayupo pichani) na baadae kuuliza
maswali kutokana na changamoto wanazokutana nazo na kupatiwa majibu.
Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage akizungumza wakati wa mkutano na
wafanyabiashara kujadili changamoto zianazowakabili wafanyabiashara
katika mkoa wa Njombe Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Christopher
Ole Sendeka na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bibi. Ruth Blasio
Msafiri.
No comments :
Post a Comment