Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Chief
wa kihehe Evaristo Sambiligunga Mwambeta alipokutana na machief wa
kihehe kuzungumza nao kuhusu namna ya kuhifadhi historia ya ukomboziwa
Bara la Afrika kwa vizazi vijavyo jana Mkoani Iringa
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Machief
wa kihehe (hawapo pichani) alipokutana nao kuzungumzia namna ya
kuhifadhi historia ya ukombozi wa Bara la Afrika kwa vizazi vijavyo jana
Mkoani Iringa
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kulia) katika picha ya
pamoja na machief wa kihehe baada ya kuzungumza nao kuhusu namna ya
kuhifadhi historia ya ukomboziwa Bara la Afrika kwa vizazi vijavyo jana
Mkoani Iringa
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (watatu kushoto) akiwasili
katika makumbusho ya Mtwa Mkwawa yaliyopo Kalenga kwa ajili ya kuona
naoma makumbusho hiyo inavyohifadhi na kuendeleza historia ya shujaa
Mkwawa aliyepigana vita vya msituni wakati wa harakati za kuwakomboa
wahehe kutoka kwa utumwa wa wajerumani jana Mkoani Iringa. Watatu kulia
ni Mratibu wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika Bibi.
Ingiahedi Mduma
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) akiangalia fuvu
la Mtwa Mkwawa alipotembelea makumbusho ya Mkwawa yaliyopo Kalenga kwa
ajili ya kuona naoma makumbusho hiyo inavyohifadhi na kuendeleza
historia ya shujaa Mkwawa aliyepigana vita vya msituni wakati wa
harakati za kuwakomboa wahehe kutoka kwa utumwa wa wajerumani jana
Mkoani Iringa.
Mtaalamu kutoka makumbusho
Mkwawa (kulia) akimuonyesha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Harrion Mwakyembe (wapili kulia) baadhi ya vifaa alivyotumia Mtwa
Mkwawa wakati wa harakati za kuwakomboa wahehe kutoka katika utumwa wa
wajerumani jana katika makumbusho ya Mkwawa iliyopo katika Halmashauri
ya Iringa Mkoa wa Iringa.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa ameshika silaha
za jadi alizokuwa anatumia Mtwa Mkwawa wakati wa harakati za kuwakomboa
wahehe kutoka katika utumwa wa wajerumani jana katika makumbusho ya
Mkwawa iliyopo katika Halmashauri ya Iringa Mkoa wa Iringa.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiangalia kaburi la
Mtwa Abdul Adam Sapi Mkwawa alipotembelea makaburi ya machief kutoka
ukoo wa Mkwawa jana katika makumbusho ya Mkwawa iliyopo katika
Halmashauri ya Iringa Mkoa wa Iringa.
Mwanafunzi kutoka Shule ya Msingi
Muungano akijibu swali la kihistoria lililoulizwa na Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe wakati wa ziara
yake katika mnara wa Frelimo ulipo katika shule ya Muungano jana Mkoani
Iringa
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na
wanafunzi wa Shule ya Msingi Muungano iliyopo katika mnara wa Frelimo
alipotembelea mnara wa Frelimo uliojengea na serikali ya Tanzania mwaka
1977 kwa lengo la kutoa heshima na kumbukumbu kwa aliyekuwa kiongozi wa
chama cha ukombozi nchini Mozambiki Bw. Samora Machel.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (watatu kushoto) katika picha ya
pamoja na viongozi kutoka Halmashauri ya Iringa katika mnara wa Frelimo
uliojengea na serikali ya Tanzania mwaka 1977 kwa lengo la kutoa
heshima na kumbukumbu kwa aliyekuwa kiongozi wa chama cha ukombozi
nchini Mozambiki Bw. Samora Machel.
Mhadhiri kutoka chuo kikuu cha
Tumaini Dkt. Gibson Sanga (kushoto) akimuonyesha Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati)
baadhi ya vifaa vya kitamaduni vinavyotumiwa na kabila la wahehe
alipotembelea makumbusho ya Iringa jana Mkoani Iringa
Picha na: Genofeva Matemu – WHUSM
No comments :
Post a Comment