Waziri
wa Haki na Katiba, Prof Palamaganda Kabudi akionesha kitabu cha vyeti
vya kuzaliwa pamoja na simu ya kisasa alipozindua zoezi la usajili na
utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa njia ya mtandao kwa mikoa ya Mara na
Simiyu leo. Tigo imetoa simu 1125 za thamani ya Tsh 77milioni
kufanikisha zoezi hill. Kulia ni Mwenyekiti was Bodi ya RITA, Prof.
Hamisi Dihenga.
|
No comments :
Post a Comment