Mwenyekiti
wa Chama cha Maafisa Habari ,Mawasiliano na Uhusuano Serikalini (TAGCO)
Pascal Shelutete akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Laiboni
iliyopo Mto wa Mbu mkoani Manyara ,Rashid Mohamed msaada wa Madaftari
2500 kwa ajili ya wananfunzi wanaosoma katika shule hiyo.
Mwenyekiti
wa TAGCO ,Pascal Shelutete na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari
Maelezo na Msemaji wa Serikali ,Dkt Hassan Abbas wakigawa Daftari kwa
wanafunzi wanaosoma katika shule ya Msingi Loibon.
Mwenyekiti TAGCO ,Pascal Shelutete akizungumza mara baada ya kukabidhi Msaada huo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Maafisa Habari ,Mawasiliano na Uhusuano Serikalini (TAGCO)
Pascal Shelutete akipeana mkono na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi
Laibon ,Rashid Mohamed wakati akikabidhi msaaada wa Matenki mawili ya
kuhifadhia maji shuleni hapo .kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya
Habari Maelezo.
Mwenekiti wa TAGCO ,Pascal Shelutete akizungumza jambo na Wanafunzi wanaosoma katika shule ya Msingi Loibon.
Moja
ya majengo ya Shule ya Msingi Loibon iliyojengwa na Mfugaji wa Jamii ya
Kimaasai,Loibon Ole Mapii baada ya Mungu kumjalia watoto Zaidi ya 200
na wajukuu Zaidi ya 400 na kulazimika kujenga shule kwa ajili ya familia
yake.
Wenyeji wa eneo ilipo shule hiyo Jamii ya Wafugaji wa Kimasaai waliandaa Nyama kwa ajili ya ugeni uliotembelea shule hiyo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Maafisa Habari,Mawasilianona Uhusiano Serikalini (TAGCO)
Pascal Shelutete na maafiwa Habar wenzake wakingojea kipande cha nyama .
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Arusha.








No comments :
Post a Comment