Naibu Waziri wa Nishati Mh.
Subira Hamisi Mgalu akikagua kituo cha uzalishaji umeme na kusambaza
umeme mkoani Mtwara . wakati alipotembelea kituo hicho jana akiongozana
na Mkuu wa wilaya ya Mtwara na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na
Usalaama Bw. Evod Mmanda.
Naibu Waziri wa Nishati Mh.
Subira Hamisi Mgalu akipata maelezo katika kituo cha uzalishaji umeme
na kusambaza umeme mkoani Mtwara wakati akipokea ripoti ya kituo hicho
alipotembelea akiongozana na Mkuu wa wilaya ya Mtwara na Mwenyekiti wa
Kamati ya Ulinzi na Usalaama Bw. Evod Mmanda.
No comments :
Post a Comment