Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia
Ackson (wa pili kulia) akizungumza na Ujumbe wa Wabunge toka Bunge la
Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam ukiogozwa na Makamu wa Rais wa Bunge
hilo Mhe. Phung Ouoc Hien (wa kwanza kushoto).
Mazungumzo
hayo yamefanyika mapema leo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam
wakati Wabunge hao walipofanya ziara ya Kibunge yenye lengo lakukuza
uhusiano baina ya pande zote mbili.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson wa (kwanza kushoto)
akizungumza na Ujumbe wa Wabunge toka Bunge la Jamhuri ya Kisoshalisti
ya Vietnam ukiogozwa na Makamu wa Rais wa Bunge hilo Mhe. Phung Ouoc
Hien (wa nne toka kulia).
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi toka kwa
Makamu wa Rais wa Bunge la Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam Mhe. Phung
Ouoc Hien mara baada ya mazungumzo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es
Salaam
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa sita toka kulia)
katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wabunge toka Bunge la Jamhuri ya
Kisoshalisti ya Vietnam ukiogozwa na Makamu wa Rais wa Bunge hilo Mhe.
Phung Ouoc Hien (wa kwanza kulia kwa Naibu Spika) mara baada ya
mazungumzo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment