Mkuu
wa wilaya ya Mtwara Bw. Evod Mmanda akifungua kongamano la
wajasiriamali katika ukumbi wa chuo cha ualimu Mtwara lililofadhiliwa na
shirika la VSO. Lengo la kongamano hilo ni kuwajengea wajasiriamali
hao uwezo na utayari wa kukamata fursa zitakazotokana na ugunduzi wa
gesi unaoendelea katika mkoa huo na ukanda wa mikoa ya kusini kwa ujumla
wake Kongamano hilo limefanyika leo 20.3.2018.
Wawasiliamali hao wakimsikiliza
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Evod Mmanda hayupo pichani wakati akifungua
kongamano la kuwajengea uwezo linalofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha
Ualimu mjini Mtwara.
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bw. Evod
Mmanda akiwa katika picha ya pamoja na wajasiriamali hao mara baada ya
kufungua kongamano hilo mjini Twara leo.
No comments :
Post a Comment