Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (kushoto)
akisalimiana na afisa uhamiaji Mkoa wa Mtwara, James Mwanjotile (kulia)
wakati kamati hiyo ilipoenda kukagua ujenzi wa ofisi za uhamiaji Mkoa wa
Mtwara leo tarehe 19 Machi, 2018 Mkoani Mtwara.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (kulia)
akipokelewa na katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Meja
Jenerali Projest Rwegasira (kushoto) wakati kamati hiyo ilipoenda
kukagua ujenzi wa ofisi za uhamiaji Mkoa wa Mtwara leo tarehe 19 Machi,
2018 Mkoani Mtwara.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (katikati)
akisisitiza jambo pale kamati hiyo ilipokuwa inakagua ujenzi wa ofisi za
uhamiaji Mkoa wa Mtwara leo tarehe 19 Machi, 2018 Mkoani Mtwara.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama wakimsikiliza kamanda wa Polisi
Mkoa wa Mtwara (hayupo kwenye picha) akizungumza wakati wa kupokea na
kujadili taarifa ya kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa katika kikao
kilichofanyika leo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
Makamu Mwenyekiti wa kamati ya
kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Salum Rehani
akizungumza jambo wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya kamati ya
ulinzi na usalama ya Mkoa katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake
Mkoani Mtwara.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments :
Post a Comment