Vilevile simu hiyo mpya
itakuwa na kioo chenye ukubwa wa nchi 5.7 na uwiano 18:9 itakayoifanya
kuwa na muonekano wa kisasa zaidi kama na uwezo mkubwa wakutizama video
bila kizuizi.
Kivutio kingine Katika simu hiyo
ni aina mpya ya processor “QUALCOMM SNAPDRAGON” na Android “Orea”
vinavyomuwezesha mtumiaji kutumia “application” nyingi kwa wakati mmoja
huku ikiwa na betri yenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi chaji zaidi ya (4000
mAh).
Uzinduzi wa simu hiyo
unatarajiwa kwenda sambamba na uzinduzi wa duka kubwa la Infinix jijini
Dar es Salaam ambalo litauza bidhaa zote na Infinix pamoja na kutoa
ushauri juu ya matumizi bora ya simu hizo.
No comments :
Post a Comment