Thursday, March 22, 2018

BALOZI WA TANZANIA NCHINI ALGERIA AUNGANA NATAIFA STARS KUPATA CHAKULA CHA PAMOJA


Kuelekea mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Algeria unaochezwa leo huko Algiers saa 2 Usiku kwa saa za nyumbani (Tanzania), Balozi wa Tanzania nchini humo, Omar Yusuph Mzee, jana aliwaandalia chakula cha usiku wachezaji wa Taifa Stars, benchi la ufundi na viongozi walioambatana na timu hiyo.

No comments :

Post a Comment