Sunday, February 18, 2018

MAULID MTULIA AIBUKA NA USHINDI WA KISHINDO UBUNGE KINONDONI


Tume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Maulid Mtulia wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge, Jimbo la Kinondoni baada ya kupata kura 30,313 dhidi ya mpinzani wake wa karibu, Salum Mwalim (CHADEMA) aliyepata kura 12,353
Screenshot_2
Mtulia akipokea cheti cha ushindi.
Screenshot_1

No comments :

Post a Comment