 |
| Msajili
wa mbio za Tigo Kili Half Marathon, Celina Charles (kulia),
akimuandikisha, Nicholas Njanga, kutoka nchini Kenya kwa ajili ya
kushiriki mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika Machi 4 katika viwanja vya
Chuo cha Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Wateja wa Tigo
wanaweza kujisajili kushiriki kupitia namba *149*20#. |
 |
| Baadhi
ya wananchi waliojitokeza kwa wingi kujisajili kushiriki mbio za Km 21
za Tigo Kili Half Marathon katika zoezi la usajili linaloendelea siku ya
leo na kesho katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam. Wateja
wa Tigo wanaweza kujisajili kupitia namba *149*20# ili kushiriki mbio
hizo zitakazofanyika katika viwanja vya Ushirika jijini Moshi tarehe
kupitia 8 Machi mwaka huu. |

| Add capBaadhi

| Meneja
Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael akizungumza na waandishi
wa habari kuhusu usajili wa Tigo kili half Marathon unaondelea siku ya
leo na kesho katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam. Wateja wa
Tigo wanaweza kujisajili kupitia namba *149*20# ili kushiriki mbio hizo
zitakazofanyika katika viwanja vya Ushirika jijini Moshi tarehe kupitia
8 Machi mwaka huu. |
Usajili
na kuchukua namba za ushiriki wa Tigo Kili Half Marathon 2018 umeanza
leo katika eneo la Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Watu wengi wa rika zote wamejitokeza leo kukamilisha usajili wao ili kukimbia mbio hizo za KM 5, Km 21 na KM 42 ambazo zitafanyika katika viwanja vya ushirika Moshi tarehe 8 Machi, 2018.
Akizungumza
na waandishi wa habari katika eneo ambapo usajili ulikuwa unaendelea,
Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael alisema kuwa wateja wa Tigo
wanaweza pia kujisajili kupitia namba *149*20#
‘Kujisajili, piga namba *149*20# kisha fuata maelekezo rahisi ili ukamilishe usajili na kufanya malipo. Utapata
ujumbe mfupi wa maneno (SMS) unaothibitisha muamala wako. Tunza ujumbe
huo mfupi na kisha nenda nao pamoja na kitambulisho chako halisi katika
vituo vilivyotajwa ili kuchukua namba yako ya ushiriki’ alisema Woinde.
Vituo, tarehe na maeneo ambapo zoezi la kukamilisha usajili na kupokea namba ya ushiriki ni kama ifuatavyo;
Dar es Salaam
TAREHE : 24 & 25 Februari – Jumamosi Na Jumapili.
MUDA: Saa Sita mchana hadi saa Kumi na Moja jioni
MAHALI: Mlimani City Mall karibu na Mgahawa wa Grano
Arusha:
TAREHE: 27 & 28 February – Jumanne na Jumatano
MUDA: Kuanzia saa Nane Mchana hadi saa Mbili usiku.
MAHALI: Kibo Palace Hotel (Mlango wa Nyuma Parking )
Moshi
Tarehe: 01 March – Alhamisi Saa Sita Mchana hadi saa Moja Usiku
Tarehe 02 March – Ijumaa Saa Nne Asubuhi Hadi saa Moja Usiku
Tarehe 3 March– Jumamosi Saa Tatu asubuhi hadi saa Sita Mchana
Mahali: Keys Hotel. Uru Road
No comments :
Post a Comment