Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita,
Dkt. Flavian Kassala baada ya kuweka jiwe la msing la hospitali ya
Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema Februari 15, 2018. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vitanda wakati alipokagua Bweni
lililopewa jina la Dkt.John Pombe Magufuli katika Shule ya Secondari ya
Nyehunge wilayani Sengerema Februari 15, 2018. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua madarasa ya Kidato cha Tano
na Sita katika Shule ya Secondari ya Nyehunge wilayani Sengerema
Februari 15, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella,
Watatu kushoto ni Waziri wa Kilimo , Dkt. Charles Tizeba na wapili kulia
ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza, Dkt. Anthony Diallo. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua darasa wakati alipozindua madarasa ya
Kidato cha Tano na Sita katika Shule ya Secondari ya Nyehunge wilayani
Sengerema, Februari 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment