Wednesday, February 28, 2018

IGP SIRRO AKUTANA NA KIKOSI MAALUM CHA KUPAMBANA NA UHALIFU WA KUTUMIA SILAHA ZA MOTO


1
 BUKOMBE, GEITA
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akiwa katika picha ya pamoja na askari wa kikosi maalum cha kupambana na uhalifu hususan katika barabara kuu ya mkoa wa Shinyanga, inayounganisha mikoa ya jirani ya Mwanza na Geita ambapo kikosi hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kupambana na wahalifu waliokuwa wakitumia silaha za moto. Picha na Jeshi la Polisi.

No comments :

Post a Comment