Sunday, February 18, 2018

GROVES AMDUNDA CHRIS EUBANK JNR NA KUTETEA MKANDA WA WBA

George Groves amemshinda Chris Eubank Jnr kwa uamuzi wa marefa wote watatu katika pambano la ngumi na kutetea mkanda wake wa WBA.

Katika pambano hilo Chris Eubank Jnr alipambana kiume kuonyesha ushujaa wake lakini mwisho wa siku ushindi ulikwenda kwa Gorge Groves aka Goliati.
Licha ya ushindi huo George Groves alijikuta akiumia na kumaliza pambano hilo kwa mfupa wake wa bega kuchomoka katika eneo lake.
                   Bondia Chris Eubank Jnr akimdunda ngumi ya kushoto George Groves
                        George Groves akimpiga ngumi ya mdomoni bondia Chris Eubank Jnr
Chris Eubank Jnr akichuruzika damu baada ya kupasuka sehemu ya eneo la nyusi baada ya kupigwa ngumi nzito na George Groves
You might also like:

No comments :

Post a Comment