RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar akitokea Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE,
akivishwa shada la maua na Mtoto aliyeandaliwa.
MKE
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akivishwa shada la maua na
mtoto aliyeandaliwa wakati wa kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar, akitokea katika ziara yake ya wiki moja katika Nchi za Umoja
wa Nchi za Falme za Kiarabu
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
na Mke Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume wakitokea katika ziara ya Kiserikali katika Nchi za
UAE
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
na Mke Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume wakitokea katika ziara ya Kiserikali katika Nchi za
UAE
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama,baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Wazee wa CCM alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume baada ya kumaliza ziaya yake katika Nche
za Falme za Kiarabu UAE
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vilioko
Zanzibar baada ya kuwasili Zanzibar katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kushoto Mama Mwanamwema, Shein na Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
WAANDISHI
wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar wakiwa na Baadhi ya Mawaziri
waliofuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein, wakifuatilia Mkutano huo na waandi katika chumba
cha VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Waandishi wa Vyombo vya Habari mbalimbali vilioko
Zanzibar akizungumzia mafanikio ya ziara yake katika Nchi za Umoja wa
Nchi za Falme za Kiarabu, baada ya kuwasili Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Waandishi wa Vyombo vya Habari mbalimbali vilioko
Zanzibar akizungumzia mafanikio ya ziara yake katika Nchi za Umoja wa
Nchi za Falme za Kiarabu, baada ya kuwasili Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe.Ayoub Mohammed
Mahmoud, baada ya kuzungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali
vya Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
baada ya kumaliza mazungumzo na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali
vilioko Zanzibar mafanikio ya ziara yake katika Nchi za Falme za
Kiarabu UAE.
No comments :
Post a Comment