Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba (kushoto), akimnadi kwa
wananchi mgombea ubunge Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia wakati wa
uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo viwanja vya Biafra, Dar es Salaam
leo.
Mgombea
Ubunge jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia akiwasalimia wananchi mara
baada kutambulishwa na kuitwa jukwaani kumwaga sera zake za kuomba kura
wakati wa uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo kwenye viwanja vya
Biafra, Dar es Salaam leo.
Mgombea
Ubunge jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia akizungumza mambo mbalimbali
mbele ya Wanachama wa chama hicho na Wananchi kwa ujumla mara baada
kutambulishwa na kuitwa jukwaani kumwaga sera zake za kuomba kura wakati
wa uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo kwenye viwanja vya Biafra, Dar
es Salaam leo.
Aliyekuwa
Diwani wa Kata ya Kimara Chadema, Ngudu Pascal Manota akiwasalimia
wananchi wa Kinondoni jioni ya leo alipokuwa akitambulishwa kwao na
kurudisha kadi ya chama hicho na kujiunga na CCM,pichani kati ni Mgeni
rasmi wa Uzinduzi wa kampeni za chama cha CCM, Mjumbe wa Halmashauri Kuu
ya CCM, Mwigulu Nchemba na kulia kwake ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya
CCM,Stephen Wasira
Aliyekuwa
Diwani wa Kata ya Kimara Chadema, Ngudu Pascal Manota akirudisha kadi
ya chama hicho na kujiunga na CCM,Mgeni rasmi wa Uzinduzi wa kampeni za
chama cha CCM, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba
akiitazama kadi hiyo kwa makini
Aliyekuwa
mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Muslim Hassaanal ambaye hivi karibuni alihamia CCM,akimwombea
kura za ushindi Mgombea Ubunge wa jimbo la Kinondoni ,Maulid Mtulia
wakati wa uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo kwenye viwanja vya
Biafra, Dar es Salaam leo.
Mgeni
rasmi wa Uzinduzi wa kampeni za chama cha CCM, Mjumbe wa Halmashauri
Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba akizungumza mbele ya umati wa watu waliofika
kuhudhuria uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo kwenye viwanja vya
Biafra, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi
ya wananchi na wafuasi wa chama cha CCM wakishangilia wakati wa
uzinduzi wa kampeni hizo,katika viwanja vya Biafra Kinondoni jioni ya
leo.
Baadhi
ya wananchi na wafuasi wa chama cha CCM wakisikiliza kwa makini
yaliyokuwa yakijiri kwenye jukwaa la uzinduzi wa kampeni Uchaguzi mdogo
wa Ubunge katika jimbo la Kinondoni,mapema leo jijini Dar.PICHA NA
MICHUZI JR.









No comments :
Post a Comment