RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mawaziri wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar baada ya kumaliza hafla ya chakula cha
mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Vijana hao katika Viwanja vya KVZ
Mtoni
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu wa
Halaiki Zanzibar Ali Mohammed Bakari, alipowasili katika viwanja vya
Kikosi cha KVZ Mtoni kuhudhuria hafla hiyo.
BAADHI ya Wanafunzi na Vijana
walioshiriki sherehe za maadhimisho ya Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
wakishiriki katika hafla ya chakula maalum cha mchana kilichoandaliwa
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, katika kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakijumuika na Vijana na Wanafunzi
walioshiriki katika Halaiki ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya
Zanzibar
VIJANA wa Bendi ya Chipukizi
wakitoa burudani wakati wahafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa
kwa ajili ya Vijana na Wanafunzi walioshiriki katika sherehe za miaka 54
ya Mapinduzi Zanzibar
BAADHI ya Wanafunzi na Vijana
walioshiriki katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
wakijumuika katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,kilichofanyika katika viwanja vya Vikosi vya KVZ Mtoni Zanzibar
BAADHI ya Vijana na Wanafunzi
walioshiriki katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
zilizofanyika katika viwanja vya Amaan Zanzibar
BAADHI ya Viongozi wa Halaiki
wakiwa katika viwanja vya Vikosi SMZ wakishiriki katika hafla ya
kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi na Afisi ya Rais
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu
akitowa neno la shukrani wakatika kumalizika kwa Hafla ya Chakula cha
Mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzinar kwa ajili yao kilichofanyika
katika Kambi ya Vikosi vya KVZ Mtoni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Viongozi wengine wa Serikali wakiitikia
dua baada ya kumalizika hafla ya chakula cha mchana kilichofanyika
katika Viwanja vya Kambi ya KVZ Mtoni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakizungumza baada ya kumalizika kwa hafla
ya chakula cha mchana a Vijana hao, katika viwanja vya Kambi ya KVZ
Mtoni
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamen Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiwa katika picha ya pamoja na Vijana
walioshiriki Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika
Uwanja wa Amaan 12-1-2018.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamen Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiwa katika picha ya pamoja na Vijana
walioshiriki Sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika
Uwanja wa Amaan 12-1-2018.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi baada ya kumalizika hafla hiyo ya
kachula maalum kilichoandaliwa kwa ajali yao katika Kambi ya KVZ Mtoni
Zanzibar.
Picha na Ikulu
CS Dan Kazungu welcomes
new assignment as High Commissioner
By Fredrick Obura | Published Mon, January 29th 2018 at 11:37, Updated
January 29th 2018 at 11:43 GMT +3
SHARE THIS ARTICLE
Share on Facebook
Share on Twitter
NAIROBI, KENYA: Outgoing mining minister Dan Kazungu has welcomed his
new assignment as the Kenya’s High Commissioner to Tanzania.
Kazungu is among seven cabinet secretaries reassigned by President Uhuru
Kenyatta last week when he unveiled a list of men and women to serve in
his cabinet during his last term as Head of State.
ALSO READ: Kenya bids to host the AU’s Africa mining development center
Other cabinet secretaries offered ambassadorial duties include Jacob
Kaimenyi, Hassan Wario, Cleopa Mailu, Willy Bett, Phylis Kandie, Judy
Wakhungu.
Tanzania is one of Kenya’s top ten export market which Kazungu says sees
as a unique opportunity to enhance relations for the benefit of both
the great people as well as larger region.
“I will always be grateful for Uhuru’s wise counsel, guidance and
support as I accept the nomination,” he said.
Read more at: https://www.standardmedia.co.ke/business/article/2001267682/outgoing-mining-cs-ready-to-improve-kenya-tanzania-relations
Read more at: https://www.standardmedia.co.ke/business/article/2001267682/outgoing-mining-cs-ready-to-improve-kenya-tanzania-relations
No comments :
Post a Comment