Rais
mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete akifurahi kuona papai alililopelekewa na
Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita/Livinggreen) walipokwenda
kumpa elimu kuhusu kilimo bora cha zao hilo nyumbani kwake Msoga,
Chalinze mkoani Pwani. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mkikita, Adam
Ngamange.
Dk.
Kikwete akishukuru kwa mafunzo hayo yaliyotolewa na Mwanachama wa
Mkikita Mtaalamu wa Kilimo cha Papai kutoka Kampuni ya Awino Farm, Ezra
Machogu. Kulia ni Adam NGAMANGENa Richard Mwaikenda, Msoga,
.RAIS mstaafu Dk.Jakaya Kikwete amefurahishwa na elimu ya kilimo cha kisasa cha Papai chenye
gharama nafuu aliyopatiwa na Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita/Living green)
No comments :
Post a Comment