RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu
wa Bandari ya Jebel Ali Port and Free Zone Dubai, alipotembelea bandari
hiyo, akiwa katika chumba cha mitambo ya kushushia mizigo kwa kutumia
vifaa vya kisasa vya kieletroniki, kushushia na kupakiilia mizigo katika
meli.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akuuliza jambo wakati
alipotembelea Bandari ya Kisasa ya Dubai ya Jebel Ali Port and Free
Zone, akiwa katika chumba cha mitambo ya Kieletroniki huendesha mashine
za kushushia na kupakilia makontena katika meli zinazofika katika
bandari hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema
Shein, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Jebel Ali Port and
Free Zone Dubai akitowa maelezo ya picha za muonekano wa Bandari hiyo
inayotoa huduma za kupakia mizigo na kushusha wkati alipofanya ziara
katika bandari hiyo Nchini Dubai
MUONEKANO wa eneo la mizigo la
bandari ya Jebel Ali Port Free Zone Dubai hutoa huduma za kupakia na
kushusha mizigo katika bandari hiyo inayotumia mitambo ya kisasa Nchini
Dubai
WAFANYAKAZI wa Bandari ya Jebel
Ali Port and Free Zone wakiwa katika chumba maalum wakiendesha mitambo
ya kielotroniki kwa kushushia na kupakilia mizigo katika Meli zinazofika
katika bandari hiyo Nchini Dubai
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Ujumbe wake
akizungumza na Wafanyabiasha wa Umoja wa Nchini za Falme za Kiarabu UAE
(Business Community Chamber of Commerce Dubai) mkutano huo umefanyika
katika ukumbi wa jengo la jumuiya hiyo Dubai
WAFANYABIASHARA katika Nchi za
Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu UAE wakiwa katika ukumbi wa mkutano
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, alipofika kwa mazungumzo akiwa katika zuiara yake UAE
MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya
Uwekezaji Vitega Uchumi Zanzibar Salum Nassor Khamis, akitowa maelezo
kwa Wafanyabiashara wa Umoja huo, kutoa fursa za kuwekeza Zanzibar
wakati wa Mkutano huo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika Ofisi za (Business
Community Chamber of Commerce Dubai ) Dubai. Kutowa fursa za uwekezaji
kwa wafanya biasha wa UAE,alipokutana na Uongozi wa jumuiya
hiyo.ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Majid Saif Al Ghurair.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mfalme
Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice Presdent Prime Minister and
Ruler of Dubai, wakielekea katika chumba cha mkutano wakati alipowasili
katika makaazi yake Dubai kwa mazungumzo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mfalme Shaikh
Mohammed Bin Rashid Al Maktoum,Vice President, Prime Minister and Ruler
of Dubai, alipofika katika makaazi yake ya kiongozi huo Nchini Dubai
akiwa katika ziara yake ya kiserikali, kulia Balozi wa Tanzania katika
Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk na
kushoto wasaidizi wa Mfalme, wakiwa katika ukumbi wa mkutano
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mazungumzo na Mfalme
wa Dubai Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime
Minister and Ruler of Dubai, alipofika katika makaazi ya Mfalme huyo
Nchini Dubai akiendelea na ziara yake ya kiserikali katika Nchi za Umoja
wa Falme za Nchi za Kiarabu (UAE )
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali. Mohamed Shein, Mfalme wa Dubai Shaikh
Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler
of Dubai, wakibadilisha mawazo na CEO na Rais Shirika la Ndege la
Emirates Airline Sheikh.Ahmed Bin Saeed Al Makhtoum,baada ya mazungumzo
yao yaliofanyika katika ukumbi wa makaazi ya Mfame Nchini Dubai
MFALME Shaikh Mohammed Bin Rashid
Al Maktoum, Vice Prisedent, Prime Minister anda Ruler of Dubai, akiwa na
Mgeni wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, wakitoka ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza
mazungumzo yao
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mfalme Shaikh.
Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler
of Dubai, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika makaazi
ya Mfalme Dubai akiwa katika ziara yake katika Nchi za UAE
RAIS wa Zanzibar na Mwyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Mradi wa Ujenzi
wa Nakheel New City Development and Palm Jumeirah Project Nchini Dubai,
akipata maelezo kutoka kwa CEO wa Kampuni ya Nakheel Sanjey Machand.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CEO wa Nakheel
Sanjey Machanda akitowa maelezo ya picha mbalimbali wakati wa kutembelea
mradi huo, akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Falme za
Kiarabu UAE.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza CEO wa Kampuni
ya Nakheel New City Development and Paml Jumeirah Project Dubai Sanjey
Machanda wakielekea kupanda boti kutembelea ujenzi wa Mradi huo katika
ufukwe wa bahari ya Dubai
MFANYAKAZI wa Kampuni ya Nakheel
New City Development Paml Jumeirah Projent akitowa maele za picha ya
Mradi huo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali z Mohamed Shein, akitembelea Mradi akiwa katika boti.
MOJA majengo katika Mradi wa
Nakheel New City Development and Palm Jumeirah Project Nchini Dubai kama
linavyoonekana pichani likiendelea na ujenzi wake
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mjumbe wa Bodi
ya Nakheel New City Development and Palm Project, Ibrahim Al Faradan,
baada ya kutembelea mradi huo akiwa katika ziara yake katika Nchi za
Umoja wa Falme za Kiarabu UAU.
Picha na Ikulu
No comments :
Post a Comment