Naibu Spika wa Bunge,
Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichokuwa
kinalenga kupokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa kumi wa Bunge pamoja na
Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano huo, kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini
Dodoma

Wajumbe wa kamati ya
uongozi wakimsikiliza Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson wakati
wa kikao cha kamati ya uongozi kilichokuwa kinalenga kupokea na kujadili
Shughuli za Mkutano wa kumi wa Bunge pamoja na Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano
huo, kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma
I visited your blog for the first time and just been your fan. I Will be back often to check up on new stuff you post!
ReplyDeleteclick here