Thursday, January 25, 2018

LOWASSA, MEMBE WAKUTANA KWENYE MSIBA WA MAMA YAKE ASKOFU GWAJIMA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA Mhe.Edward Lowassa akiteta na waziri wa mambo ya nje wa zamani Mhe. Bernard Membe walipokutana katika msiba wa mama mzazi wa Askofu

No comments :

Post a Comment