Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akifungua Tawi la vijana wakereketwa wa CCM la Majaliwa Camp,katika Kata ya Nkowe Wilayani Ruangwa, Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) You might als
Pages
Saturday, December 30, 2017
WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA YA DAKTARI KITUO CHA AFYA NKOWE
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akiwa na mganga mkuu wa kituo cha afya Nkowe Dk.
Paul Mbinga,wakati akikagua ujenzi wa nyumba ya daktari, Waziri Mkuu
yupo Wilayani Ruangwa kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka ambapo
aliamua kukagua miradi ya maendeleo jimboni kwake. Desemba 29, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akipewa maelezo ya ujenzi wa maabara katika kituo
cha afya Nkowe na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ruangwa, Waziri Mkuu yupo
Wilayani Ruangwa kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka ambapo
aliamua kukagua miradi ya maendeleo jimboni kwake. Desemba 29, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Nkowe,baada ya
kutembelea na kukagua kituo cha afya Nkowe Wilayani Ruangwa,. Desemba
29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akipokea wanachama wapya 60 wa Kata ya Nkowe
Wilayani Ruangwa, kutoka Chama cha Wananchi (CUF) ambao wameamua kurejea
Chama cha Mapinduzi (CCM). Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Sister Nelly Membe wa Shirika la
Bikira Maria Msaada wa Wakristu la Ndanda,katika Kata ya Nkowe Wilayani
Ruangwa, Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Sister Mfurahishi Choaji wa Shirika
la Bikira Maria Msaada wa Wakristu la Ndanda,katika Kata ya Nkowe
Wilayani Ruangwa, Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akifungua Tawi la vijana wakereketwa wa CCM la Majaliwa Camp,katika Kata ya Nkowe Wilayani Ruangwa, Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) You might als
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akifungua Tawi la vijana wakereketwa wa CCM la Majaliwa Camp,katika Kata ya Nkowe Wilayani Ruangwa, Desemba 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) You might als
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment